KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA WAKALA WA TAIFA WA UTAFITI WA NYUMBA BORA NA VIFAA VYA UJENZI
Mtaalamu kutoka Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na
Vifaa vya Ujenzi(NHBRA), Hussen Mataka akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge
ya Ardhi, Maliasili na Utalii viae vya kuezekea nyumba ambavyo ni matokeo ya
utafiti wa Wakala huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba
Bora na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA), Dk. Matiko Mturi akiwalezea wajumbe wa Kamati
ya Ardhi, Maliasili na Utalii teknolojia ya kutengeneza matofali ya udongo
imara na kwa gharama ndogo, kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo
ya Makazi Mhe. Angelina Mabula na Mwenyekiti
wa Kamati, Mhe.Atashista Nditiye.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii
wakikagua vigae vilivyotengenezwa kwa udongo naNHBRA.
No comments:
Post a Comment