Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Bi. Nasama
Massinda akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti walipotembelea
Soko la Hisa leo Jijini Dar es Salaam.
|
Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Soko la Hisa
la Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa
akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bajeti walipotembelea Soko hilo
leo Jijini Dar es Salaam
|
|
Meneja Miradi na Biashara wa wa
Soko la Hisa
la Dar es Salaam (DSE), Patrick akiwaelezea Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Bajeti jinsi Soko hilo linavyofanya kazi.
|
Meneja Miradi na Biashara wa wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Patrick akiwaelezea Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti jinsi Soko hilo linavyofanya kazi. |
Meneja Miradi na Biashara wa wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Patrick akiwaelezea Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti jinsi Soko hilo linavyofanya kazi. |
No comments:
Post a Comment