WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, January 18, 2017

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YAENDELEA NA ZIARA JIJINI DAR ES SALAAM

     Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Kamati hiyo leo imefanya ziara Makao Makuu ya Wizara hiyo iliyoko Jijini Dar es Salaam ambapo imepokea na kujadili taarifa ya Wizara kuhusu utunzaji wa Pembe za Ndovu Nchini.

Maafisa wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakifuatilia mada iliyokuwa inawasilishwa kuhusiana utunzaji wa Pembe za Ndovu.


Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao na Maafisa wa Wizara ya Maliasili na Utalii leo Jijini Dar es Salaam wakati Kamati hiyo ilipotembelea Wizarani hapo.

No comments:

Post a Comment