KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YAENDELEA NA UCHAMBUZI WA BAJETI
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe. Mary Chatanda na Mhe. Silafu Maufi wakifuatilia uwasilishwaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii katika kikao cha Kamati hiyo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja
na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka ujao wa fedha mbele ya
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii.
No comments:
Post a Comment