WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, March 30, 2017

KAMATI YAJADILI BAJETI YA MKOA WA ARUSHA

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa , Mhe. Venance Mwamoto akisikiliza  taarifa kuhusu utekelezaji wa bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, fungu namba 70 Mkoa wa Arusha, kushoto ni Katibu wa Kamati hiyo Ndg. Chacha Nyakega


Wajumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa wakifuatilia uwasilishwaji wa  taarifa kuhusu utekelezaji wa bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, fungu namba 70 Mkoa wa Arusha.


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Seleman Jafo akifiuatilia mjadala kuhusiana na taarifa kuhusu utekelezaji wa bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, fungu namba 70 Mkoa wa Arusha katika kikao cha Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa.Kushoto ni viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Arusha


Mjumbe wa Kamati Utawala na Serikali za Mitaa  Mhe. Juma Ngwali akisisitiza jambo katika kikao cha kamati hiyo ambacho kilipokea taarifa kuhusu utekelezaji wa bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, fungu namba 70 Mkoa wa Arusha.

No comments:

Post a Comment