KAMATI YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAJADILI BAJETI YA WIZARA YA MAMBO NDANI YA NCHI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka 2016/17 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka ujao wa fedha mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Balozi Adadi Rajabu.
Viongozi mbalimbali kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakifuatilia uwasilishwaji wa
Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hiyo ya kwa mwaka 2016/17 pamoja
na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka ujao wa fedha mbele ya
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama.
No comments:
Post a Comment