Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem
M.Shabat, ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
|
Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem
M.Shabat, wakati alipozungumza naye ofisini
kwake jijini Dar es Salaam. |
Mazungumzo yakiendelea
Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat akimueleza
jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati akimkabidhi barua Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment