Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job
Ndugai akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati wa ibada Maalum
ya kuliombea Taifa la Kenya iliyoandaliwa na Bunge la nchi hiyo. Wengine katika
pichani kutoka kushoto ni Spika wa Bunge
la Kenya Justin Muturi, Spika wa Bunge
la Seneti la Kenya Mhe Ekwee Ethuro na
Jaji Mkuu wa Kenya Jaji David Maraga. Mhe Ndugai yuko katika
ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na
wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge, Mhe Mary Chatanda, Mhe Salim Turky na Mhe
Mch.Peter Msigwa.
|
No comments:
Post a Comment