SPIKA AFUTURISHA WABUNGE, WAFANYAKAZI NA WAZEE WA DODOMA
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akibadilishana mawazo na Waziri wa Elimu, Teknolojia, Sayansi na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako wakati wa futari iliyoandaliwa na Spika kwa ajili ya wabunge, wafanyakazi wa Bunge na Wazee wa Mkoa wa Dodoma
Mheshimiwa Spika Job Ndugai akizungumza na baadhi ya wabunge walioshiriki katika futari aliyoaindaa
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akifurahia jambo akiwa na Waziri Mkuu,
Mhesmiwa Kassim Majaliwa wakati wa Futari katika Viwanja vya Bunge,
Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akiagana na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa mara baada ya Waziri Mkuu kushiriki katika Futari iliyoandaliwa na Spika katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment