Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Mwigulu Nchemba akipata futari iliyoandaliwa na Taasisi ya Islamic Foundation (TIF) kwa ajili wa Waheshimiwa Wabunge, Wafanyakazi wa Bunge na wageni wengine. Katikakati ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Sheikh Aref Mubark Nahad na kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Mheshimiwa Abdallah Ulega.Hafla hiyo ilifanyika katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 21, 2017.
Waheshimiwa Wabunge wakipata futari iliyoandaliwa na Taasisi ya Islamic Foundation
(TIF) kwa ajili wa Waheshimiwa Wabunge, Wafanyakazi wa Bunge na wageni
wengine katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waandishi wa Habari za Bunge wakihudhuria katika futari iliyoandaliwa na Taasisi ya Islamic Foundation
(TIF) kwa ajili wa Waheshimiwa Wabunge, Wafanyakazi wa Bunge na wageni
wengine katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga, Mheshimiwa Abdallah Ulega akizungumza mara baada ya kumaliza kufuturu, kulia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Islamic Foundation
(TIF), Sheikh Mohamed Issa
na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Vyombo vya Habari vya Taasisi hiyo, Sheikh Mohamed Issa.
No comments:
Post a Comment