WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, August 24, 2017

KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI MTWARA


Meneja  Uendeshaji wa Kiwanda cha kuchakata Gesi Asilia cha Maurel & Prom cha Mnazi Bay Mtwara, Laurent Jars akitoa maelezo kuhusiana na kiwanda hicho kwa Kamati Kamati ya Bunge ya Bajeti wakati Kamati hiyo ilipofanya ziara katika Kiwanda hicho.


Kamati ya Bunge ya Bejeti ikisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Uzalishaji wa Kiwanda cha  Kuchakata Gesi Asilia cha Maurel & Prom cha Mnazi Bay Mtwara, Nyomwa Kilemo wakati Kamati hiyp ilipoenda kutembelea Kiwanda hicho.


Meneja wa Kiwanda cha Kuchakata Gesi Asilia cha Madimba, Leonce Mrosso akiwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti jinsi kiwanda hicho kinavyofanya kazi.


Meneja wa Kiwanda cha Kuchakata Gesi Asilia cha Madimba, Leonce Mrosso akiwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti jinsi kiwanda hicho kinavyofanya kazi.

No comments:

Post a Comment