|
Mwenyekiti Chama cha Wabunge Wanawake Bungeni
Mhe Magreth Sitta (katikati) akiongoza
kikao wakati Wajumbe wa Chama hicho
walipokutana na Wajumbe wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada
katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar
es Salaam mapema leo. |
Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi
la Canada Mhe. Yasmin Ratansi (wa kwanza
kulia) akizungumza wakati Wajumbe wa
Chama hicho kutoka Canada walipokutana na Wajumbe Chama cha Wabunge Wanawake katika
Bunge la Tanzania katika Ofisi Ndogo za
Bunge Jijini Dar es Salaam mapema leo.
|
Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi
la Canada Mhe. Yasmin Ratansi (wa kwanza
(kushoto) akisisitiza jambo mbele ya Wajumbe Chama cha Wabunge Wanawake katika Bunge
la Tanzania mara baada ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es
Salaam mapema leo. |
|
Wajumbe wa Chama cha Wabunge Wanawake katika Bunge la Tanzania
katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la
Canada mara baada ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es
Salaam. |
No comments:
Post a Comment