WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, October 27, 2017

ALIYEKUWA KATIBU WA BUNGE DKT. KASHILILAH AMKABIDHI KATIBU MPYA WA BUNGE OFISI, MBELE YA SPIKA NDUGAI

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Job  Ndugai (katikati) akishuhudia aliyekuwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah  (kushoto) akimkabidhi  Ofisi Katibu Mpya wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai, mapema leo Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Job  Ndugai katikati akizungumza na aliyekuwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah  (kushoto) na Katibu Mpya wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai, wakati wa makabidhiano ya Ofisi mapema leo Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akifurahia jambo na aliyekuwa katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah  (kushoto) na Katibu Mpya wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai, wakati wa makabidhiano ya Ofisi mapema leo Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment