Mjumbe wa Kamati
ya Bajeti, Mheshimiwa Janeth Mbene akichangia jambo katika kikao cha Kamati
hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma, ambapo leo imekutana na
Taasisi ya Sekta Binafsi kujadili kuhusu vyanzo vya mapato ya Serikali na
mapendekezo ya hatua za kupunguza utegemezi wa kibajeti kwa mwaka 2018/19
|
No comments:
Post a Comment