WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI WAKIWA KATIKA KIKAO MJINI DODOMA
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika kikao cha
Kamati hiyo Mjini Dodoma ambapo walikuwa wakipitia Taarifa ya ziara
waliyoifanya Agosti mwaka huu katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na
Mtwara.
Mjumbe wa Kamati ya Bajeti, Mheshimiwa Ali Hassan King
akichangia jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma,
kulia ni Mjumbe wa Kamati hiyo, Mheshimiwa Jerome Bwanausi.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mheshimiwa Hawa
Ghasia akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma ambapo
walikuwa wakipitia Taarifa ya ziara waliyoifanya Septemba mwaka huu katika
Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara.
No comments:
Post a Comment