Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimtunuku Mke wa Spika Fatma Ndugai cheti cha Pongezi, Ikulu Jijini Dar
es Salaam ambapo alipokea Cheti hicho kwa niaba ya Spika wa Bunge Mhe
Job Ndugai.

Job Ndugai.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimtunuku Mke wa Spika Fatma Ndugai cheti cha Pongezi, Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo alipokea Cheti hicho kwa niaba ya Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mkono na Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai baada ya kumtunuku Cheti cha Pongezi (kupitia mke wake) Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai.
Mwenyekiti wa Bunge Mhe Mussa Azzan Zungu akizungumza Ikulu Jijini Dar
es Salaam wakati wa kuwatunuku vyeti vya Shukrani Wajumbe wa Kamati
Maalum ya Uchunguzi na Majadiliano kuhusu uchimbaji wa raslimali za
Madini nchini.
No comments:
Post a Comment