Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akizungumza na mgeni wake Mwenyekiti wa kamati ya urafiki baina ya Bunge la
Tanzania na Iran, Mhe. Dkt. Ardeshir Noorian (wa pili kulia), Balozi wa Iran
nchini Tanzania Mhe. Mousa Farhang (kulia) na Afisa kutoka ubalozi wa Iran
nchini Tanzania Ndg. Maisara Ally (wa pili kushoto) walipomtembelea leo Ofisini
kwake Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment