Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akimsikiliza mgeni wake Mwenyekiti wa kamati ya urafiki baina ya Bunge la
Tanzania na Iran, Mhe. Dkt. Ardeshir Noorian (wa pili kulia), ugeni kutoka
Bunge la Iran ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Balozi wa Iran nchini Tanzania Mhe.
Mousa Farhang na Afisa kutoka ubalozi wa Iran nchini Tanzania Ndg. Maisara Ally
(wa pili kushoto)
No comments:
Post a Comment