Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana
na Balozi wa Iran nchini Tanzania Mhe. Mousa Farhang (kulia) alipomtembelea leo
Ofisini kwake Mjini Dodoma. Katikati ni Mwenyekiti wa kamati ya urafiki baina
ya Bunge la Tanzania na Iran, Mhe. Dkt. Ardeshir Noorian
No comments:
Post a Comment