Ugeni kutoka Bunge la Iran ulioongozwa na Mwenyekiti wa kamati ya urafiki baina ya Bunge
la Tanzania na Iran, Mhe. Dkt. Ardeshir Noorian (katikati), Balozi wa Iran
nchini Tanzania Mhe. Mousa Farhang (wa pili kulia)wakifuatilia kikao cha Bunge
kinachoendelea leo Mjini Dodoma. Wengine ni Wabunge na Maafisa kutoka Bunge la
Iran
No comments:
Post a Comment