Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Waombolezaji nyumbani kwa
aliyekuwa Mbunge wa Buyungu alipofika kuwasabia wafiwa na kuaga mwili
wa marehemu Mjini Kakonko, Mkoani Kigoma
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa
aliyekuwa Mbunge wa Buyungu alipofika kuwasabia wafiwa nyumbani kwa Marehemu Mjini Kakonko, Mkoani Kigoma
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiwasabai
watoto wa marahemu, Kasuku Bilago Wilayani kakonko Mkoani Kigoma
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)akimfariji Mke
wa marehemu Bi. Pietha Bisangwa Bilago leo Wilayani kakonko Mkoani Kigoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akiteta jambo na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe (kulia) nyumbani kwa aliyekuwa Mbunge wa Buyungu, marehemu Kasuku Bilago Wilayani kakonko Mkoani Kigoma.
Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai (katikati) akiteta
jambo na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe (kulia)
na Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe. Zitto Kabwe nyumbani kwa aliyekuwa Mbunge wa Buyungu, marehemu Kasuku Bilago
Wilayani kakonko Mkoani Kigoma.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia akizungumza kwa niaba ya Waziri Mkuu katika msiba huo
Mbunge wa Kasulu Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wabunge wanaotoka Mkoa wa Kigoma Mhe. Daniel Nsanzugwako akizungumza katika msiba huo. Kushoto kwake ni Mbunge wa Mbozi Mhe. Pascal Haonga ambaye alikuwa rafiki wa karibu na marehemu wakati akiwa Katibu wa Chama cha Walimu Wilayani Mbozi.
No comments:
Post a Comment