Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Mkuu wa Majeshi
ya Ulinzi na Usalama Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo (kulia) alipomtembelea
leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza mgeni wake Mkuu wa Majeshi
ya Ulinzi na Usalama Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo (kulia) alipomtembelea na kufanya nae mazungumzo
leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment