Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Katiba na Sheria wakizungumza na Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa
Nchini mapema leo katika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
|
Wajumbe wa Kamati ya Bunge wa
Katiba na Sheria katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa
Nchini mara baada ya mazungumzo Jijini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment