Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akikabidhiwa jezi ya klabu ya Simba na kaimu
Rais wa Klabu hiyo, Ndg. Salim Abdallah (kulia) baada ya kujumuika kwa pamoja
na Wachezaji na Viongozi wa Klabu ya Soka ya Simba katika chakula cha jioni kilichofanyika jana
Mjini Dodoma, ikiwa ni kuwapongeza baada ya kuwa Mabingwa wa Ligi kuu ya
Tanzania Bara kwa mwaka 2017- 2018.
Spika
wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji pamoja
na Viongozi wa Klabu ya Soka ya Simba katika hafla ya kuwapongeza iliyofanyika
nyumbani kwa Spika Jijini Dodoma.
Spika
wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwapongeza Wachezaji pamoja na Viongozi wa
Klabu ya Soka ya Simba ya Jijini Dar es salaam kwa kufanikiwa kuchukua Ubingwa
wa Ligi Kuu ya Soka nchini katika hafla iliyofanyika nyumbani kwa Spika Jijini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment