Spika wa
Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na
waliokuwa Wanafunzi wenzake wakati anasoma Shule ya Sekondari Kibaha, Mkoani Pwani
walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. Anayesalimiana na Mhe. Spika ni Ndg.
Sadiki Alli na wengine kutoka kushoto ni Ndg. Jackson Kalikumtima, Eng. Hussein
Mzara na Ndg. David Mchaina.
Spika wa
Bunge akizungumza na waliokuwa Wanafunzi
wenzake wakati anasoma Shule ya Sekondari Kibaha, Mkoani Pwani walipomtembelea
Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wa kwanza kushoto kwa Mhe. Spika ni Ndg. Jackson
Kalikumtima, Eng. Hussein Mzara, Ndg. Sadiki Alli na Ndg. David Mchaina.
Spika wa
Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akimsikiliza Ndg. Jackson
Kalikumtima alipokuwa akizungumza na waliokuwa Wanafunzi
wenzake wakati akisoma Shule ya Sekondari Kibaha, Mkoani Pwani walipomtembelea
Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa
Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na waliokuwa Wanafunzi
wenzake wakati anasoma Shule ya Sekondari Kibaha, Mkoani Pwani walipomtembelea
Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Ndg. Jackson Kalikumtima, Ndg. David
Mchaina na kutoka kushoto ni Eng.Hussein Mzara na Ndg. Sadiki Alli.
No comments:
Post a Comment