Mmoja
wa wakilishi akitoa mada yake kwa wabunge kuhusu maoni waliyopendekeza kwa
ajili ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na utalii.
|
Wajumbe
mbalimbali wakiongozo na Naibu Katibu Mkuu wa Bodi ya Utalii ambao walifika
mapema leo hii kuwakilisha maoni yao kwa kamati.
|
Mwenyekiti
wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mheshimiwa Nape Nnauye akifungua kikao cha kupokea maoni ya
wadau wa Bodi ya Utalii mapema leo hii.
|
Katibu
Kamati wa Kamati ya Ardhi na Maliasili,
Ndg Gerald Magili akitoa utaratibu kwa
wafanyakazi wa Bodi ya Utalii ambao walikuja kutoa maoni yao kwa kamati mapema
leo hii.
|
No comments:
Post a Comment