Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake,
Mheshimiwa Juma Nkamia wakiwa katika Kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa
Mpango Kazi wa Kupokea Maoni ya Wadau mbalimbali kilichofanyika leo Jijini
Dodoma.
Wajumbe wa amati
ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo,
Mheshimiwa Juma Nkamia alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa Kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa
Mpango Kazi wa Kupokea Maoni ya Wadau mbalimbali kilichofanyika leo Jijini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment