KAMATI YA SHERIA NDOGO YAKUTANA NA WAZIRI WA ARDHI
Wajumbe wa Kamati
ya Kudumu ya Sheria Ndogo wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi Mheshimiwa William Lukuvi alipokuwa akitoa majibu ya hoja za Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo
Jijini Dodoma.
Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi akiiongoza Wizara yake
kutoa majibu ya hoja za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo katika kikao
cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment