Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti , Mhe. Goerge Simbachawene
akisisitiza jambo katika Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana leo
katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma., pembeni
ni Makamu
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Mashimba Ndaki . Kamati
hiyo ilikuwa
ikipitia na kuchambua Muswada wa Sheria ya Ubia
baina ya Sekta ya Umma na Sekta
Binafsi wa mwaka 2018
|
No comments:
Post a Comment