Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati, Mhe. Subira Mgalu akiwa na
watendaji wake katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Nishati
kilichofanyika leo
Jijini Dodoma. Kamati hiyo leo ilikuwa
inapokea taarifa ya wizara hiyo kuhusu maendeleo
nachangamoto
za uendelezaji wa migodi ya makaa ya mawe nchini na taarifa
kuhusu uwekezaji katika madini ya kimkakati.
|
No comments:
Post a Comment