Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti
wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa George Simbachawene
wakifuatilia Uwasilishwaji wa Taarifa ya utekelezaji wa kazi za Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo vidogo (Sido) Mkoa wa
Singida kwa kipindi cha mwaka 2016 hadi Juni 2018 katika ziara ya Kamati hiyo iliyoanza hii leo Mkoani humo.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti
wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa George Simbachawene wakikagua
maeneo mbalimbali ya hatua za uzalishaji katika kiwanda cha Mafuta ya Alizeti
cha Mount Meru kilichopo Mjini Singida, Kamati hiyo ipo katika ziara ya
kutembelea Viwanda mbalimbali Mkoani humo.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti
wakiashuhudia bidhaa ya mafuta ya Alizeti iliyo tayari kwa ajili ya kupelekwa
sokoni walipotembelea Kiwanda cha Mount Meru kilichopo Mjini Singida hii leo.Kamati hiyo ipo katika ziara yake Mkoani Singida.
No comments:
Post a Comment