WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, August 24, 2018

KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YA KUTANA NA WADAU WA ELIMU CWT BUNGENI

Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mheshimiwa Peter Serukamba alifunga kikao cha kupokea maoni ya wadau wa Elimu kuhusu Muswada wa Bodi ya Kitaaluma ya walimu Tanzania wa mwaka 2018.
Mheshimiwa Naibu Waziri wa Elimu Tate Ole Nasha akimsikiliza kwa makini mmoja wa wadau wa elimu CWT alipokuwa anatoa hoja yake leo Bungeni walipokutana na kufanya kikao na kamati.
Waheshimiwa Wabunge na wadau wa Elimu CWT walipokutana na kufanya kikao katika viwanja vya Bunge ili kujadili Muswada wa Bodi ya Kitaaluma Tanzania wa mwaka 2018.


No comments:

Post a Comment