KAMATI YA KATIBA NA SHERIA YAKUTANA NA WADAU KWA AJILI YA KUPOKEA MAONI YA MUSWADA
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mheshimiwa Dkt. Damas Ndumbaro akifafanua jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kamati hiyo leo ilikuwa inapokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na. 2) wa mwaka 2018
Wadau mbalimbali wamejitokeza
kutoa maoni kwenye Kamati ya Bunge ya
Katiba na Sheria katika kikao cha Kamati kilichofanyika leo katika Ofisi za Bunge
Jijini Dodoma. Kamati hiyo leo ilikuwa inapokea maoni ya wadau kuhusu Muswada
wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na. 2) wa mwaka 2018
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha kusikiliza maoni ya wadau kuhusu Muswada
wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na. 2) wa mwaka 2018. Kikao
hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment