Friday, September 28, 2018
WABUNGE WA TANZANIA WAHUDHURIA SEMINA YA KUJENGEWA UWEZO NCHINI CHINA
![]() |
Mheshimiwa Kiza Mayeye akichangia mada katika semina hiyo.
Semina hiyo iliwakilishwa na nchi saba za bara la Afrika na Asia.
|
![]() |
Kushoto katika picha ni Mheshimiwa Maida Abdallah,
akifuatiwa na Mheshimiwa Munira Khatib, Mheshimiwa Kiza Mayeye, Mheshimiwa
Joram Hongoli na mwisho kulia ni Mheshimiwa Fredy Mwakibete.
|
Monday, September 24, 2018
WABUNGE WA TANZANIA WATEMBELEA BUNGE LA CHINA
| Wabunge wa Tanzania wakiwa katika ziara ya mafunzo nchini China, wamepata nafasi ya kutembelea Bunge la China Beijing. Wabunge hao walialikwa na Bunge la China kufanya ziara katika Bunge lao. |
Wednesday, September 12, 2018
WANAFUNZI WAZURU BUNGENI KUPATA ELIMU KUHUSU BUNGE
Subscribe to:
Comments (Atom)





