WANAFUNZI WAZURU BUNGENI KUPATA ELIMU KUHUSU BUNGE
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Kamati za Bunge Ndg. Dickson Bisile akitoa elimu
kwa Wanafunzi kutoka Shule
ya Jumapili ya Kanisa la Moravian Jimbo la Dodoma waliotembelea Bunge
kwa lengo la kujifunza Shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mhimili wa
Bunge.
Afisa wa Bunge Ndg. Stanslaus Yusufu akifafanua jambo mbele ya Wanafunzi kutoka Shule ya Jumapili ya Kanisa la Moravian Jimbo la Dodoma waliotembelea Bunge kwa lengo la kujifunza Shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mhimili wa Bunge.
No comments:
Post a Comment