KAMATI YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAKUTANA NA WIZARA YA ULINZI
Mwenyekiti wa Kamati ya ya Kudumu ya Bunge ya Mambo
ya Nje, Ulinzi na Usalama Mheshimiwa Mussa Azan Zungu akifuatilia uwasilishaji
wa Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga
Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018 iliyowasilishwa
na Meja Jenerali A. Bahati mbele ya Kamati Bungeni Jijini Dodoma
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Mheshimiwa Hussein Alli Mwinyi na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt Florens Turuka
wakiwa mbele ya kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wizara hiyo ilipoenda
kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018
pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019.
Wajumbe
wa Kamati ya ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama pamoja na Watendaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa wakifatilia uwasilishaji
wa Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga
Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018
iliyowasilishwa na Meja Jenerali A. Bahati (hayupo pichani) mbele ya Kamati Jijini Dodoma
Wajumbe wa Kamati ya ya Kudumu ya Bunge ya Mambo
ya Nje, Ulinzi na Usalamana Watendaji
wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifawakifatilia uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara
ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018iliyowasilishwa na Meja Jenerali A. Bahati
mbele ya Kamati Bungeni Jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment