Wajumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati hiyo
Mheshimiwa Selemani Moshi Kakoso ilyokutana na Shirika la Reli nchini TRC hii
leo Jijini Dodoma na kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Ujenzi wa Reli ya mpya
ya Kiwango cha Kimataifa (SGR).
|
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mheshimiwa Injinia Isack Aloyce Kamwelwe akifafanua
jambo mbele ya Kamati ya Bunge ya Miundombinu ilipokutana na Shirika la Reli nchini
TRC hii leo Jijini Dodoma na kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Ujenzi wa Reli ya
mpya ya Kiwango cha Kimataifa (SGR).
|
|
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Mheshimiwa Selemani Moshi Kakoso
akifafanua jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokutana na Shirika la Reli nchini TRC
hii leo Jijini Dodoma na kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Ujenzi wa Reli ya
mpya ya Kiwango cha Kimataifa (SGR).
|
No comments:
Post a Comment