KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA IKIWA KATIKA KIKAO CHA KAMATI JIJINI DODOMA
Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa ikiwa katika kikao cha
Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo imekutana
na Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala
Bora kwa ajili ya kupokea na kujadili taarifa ya Ofisi ya Rais , Bodi ya
Mishahara na Maslahi katika Utumishi wa Umma.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya
Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Mwanne Nchemba akisisitiza jambo
katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini
Dodoma. Kamati hiyo imekutana na Ofisi
ya Rais Utumishi na Utawala Bora kwa ajili ya kupokea na kujadili taarifa ya
Ofisi ya Rais , Bodi ya Mishahara na Maslahi katika Utumishi wa Umma.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Mhe. George Mkuchika akitolea
ufafanuzi hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa
wakati Kamati hiyo ilipokutana na Wizara yake kwa ajili ya kupokea na kujadili taarifa ya
Ofisi ya Rais , Bodi ya Mishahara na Maslahi katika Utumishi wa Umma
No comments:
Post a Comment