WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, October 17, 2018

MHE. SPIKA ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA TAASISI YA KIMATAIFA YA KIDEMOKRASIA (NDI)




Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Mkurugenzi wa Taasisi  ya Kimataifa ya Kidemokrasia (NDI) Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Keith Jennings wakati Mkurugenzi huyo pamoja na baadhi ya viongozi wa Taasisi hiyo  walipomtembelea Ofisini kwake leo Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi  ya Kimataifa ya Kidemokrasia (NDI) Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Keith Jennings wakati Mkurugenzi huyo pamoja na baadhi ya viongozi wa Taasisi hiyo  walipomtembelea Ofisini kwake leo Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na viongozi wa Taasisi  ya Kimataifa ya Kidemokrasia (NDI), katikati ni Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Keith Jennings na wa mwisho ni Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi hiyo Ndg. Sandiy Quimbaya. Wageni hao walimtembelea Mhe. Spika leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na  viongozi wa Taasisi  ya Kimataifa ya Kidemokrasia (NDI), kushoto kutoka kwa Mhe. Spika  ni Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Keith Jennings na kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi hiyo Ndg. Sandiy Quimbaya. Wageni hao walimtembelea Mhe. Spika leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.


No comments:

Post a Comment