Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Mhe. Atashasta Nditiye akijibu hoja za Wajumbe wa Kamati ya
Bunge ya Masuala ya UKIMWI katikati
ni Mwenyekiti wa
Kamati hiyo, Mhe. Oscer Mukasa na pembeni ni Katibu wa
Kamati
Ndg .Agnes Nkwera. Kamati ya Masuala ya UKIMWI
imepokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya
Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano kuhusu Udhibiti wa Uingizaji wa Dawa za Kulevya
kwenye maeneo ya Bandari, Fukwe, Barabara Kuu na Viwanja
vya Ndege katika kikao
kilichofanyika leo Jijini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment