WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA ATEMBELEA MIRADI YA UJENZI YA OFISI YA BUNGE INAYOTEKELEZWA NA SUMA JKT
Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai na Waziri wa
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Hussein Ally Mwinyi wakisikiliza
maelezo kutoka kwa Mkuu wa SUMA-JKT –
Ujenzi Kanda ya Kati Dodoma, Luteni Kanali Zabron Mahenge wakati viongozi hao walipotembelea
eneo linapojengwa lift katika Jengo la Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma .
Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akizungumza na
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Hussein Ally Mwinyi
alipomtembelea ofisini kwake leo mjini Dodoma. Waziri mwinyi ametembelea Ofisi
ya Bunge kukagua miradi mitatu 3 ya ujenzi ya inayotekelezwa na Suma JKT.
Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai na Waziri wa
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Hussein Ally Mwinyi wakimsikiliza
Mkuu wa SUMA-JKT – Ujenzi Kanda ya Kati Dodoma, Luteni Kanali Zabron Mahenge
akitoa maelezo ya hatua ya utekelezaji mradi wa ukarabati wa Ofisi ya Bunge ulipofikia.
Nyuma ya Waziri Mwinyi (mwenye miwani ) ni Mkurugenzi Mtendaji SUMA JKT Kanali
Rajab Mabere na anayefuata ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT Meja Jenerari
Martin Busungu .
No comments:
Post a Comment