WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, November 1, 2018

KAMATI YA PIC YAJADILI TAARIFA YA NDC

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma wakiwa katika kikao cha kamati kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo leo walipokea na kujadili taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu Uwekezaji katika Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC).

Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma Mheshimiwa Richard Ndasa akichangia jambo katika kikao cha kamati hiyo  kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo leo walipokea na kujadili taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu Uwekezaji katika Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC).

Mwenyekiti wa Kamati ya Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma Mheshimiwa Raphael Chegeni akifuatilia jambo katika kikao cha kamati hiyo  kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo leo walipokea na kujadili taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu Uwekezaji katika Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC).pembeni yake ni Katibu wa Kamati hiyo Ndugu Amina 

No comments:

Post a Comment