NAIBU SPIKA AKUTANA NA WACHEZAJI WA MBEYA CITY WALIPOTEMBELEA BUNGENI
Naibu Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia
Ackson akizungumza na Wachezaji pamoja na Viongozi wa Timu ya Mbeya City FC
inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara walipotembelea Bungeni kwa ajili ya
kufanya Ziara ya Mafunzo jana JijiniDodoma.
Naibu
Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiongozana na Wachezaji
pamoja na Viongozi wa Timu ya Mbeya City FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania
Bara walipokuwa wakitembelea maeneo mbalimbali ya Viwanja vya Bunge kwa ajili ya kufanya Ziara ya Mafunzo jana Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia
Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji pamoja na Viongozi wa Timu ya
Mbeya City FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara walipotembelea Bungeni kwa
ajili ya kufanya Ziara ya Mafunzo jana Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment