WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, November 23, 2018

MATUKIO MBALIMBALI YA KIKAO CHA TATU CHA BUNGE LA VIJANA

Spika wa Bunge la Vijana Mhe. Zephania Sane akiingia ukumbini tayari kwa kuanza kikao cha Bunge hilo. Mkutano huo wa Bunge la Vijana mwaka 2018 unafanyika katika Ukumbii wa Msekwa Jijini Dodoma.

Kikao cha Tatu cha Mkutano wa Bunge la Vijana mwaka 2018 kikiendelea katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Vijana. Mhe. Zephania Sane pamoja na wabunge wa Bunge hilo wakiwa wamesimama kwa heshima wakati Bunge linapotaka kukaa kama Kamati ya Bunge zima kwa ajili ya kupitisha Muswada. Mkutano  wa Bunge la Vijana mwaka 2018 unafanyika katika Ukumbii wa Msekwa Jijini Dodoma.

Wabunge wa Bunge la vijana wakiwa wamekutana kama Kamati ya Bunge zima kwa ajili ya kupitisha Muswada. Mkutano  wa Bunge la Vijana mwaka 2018 unafanyika katika Ukumbii wa Msekwa Jijini

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge zima ya Bunge la Vijana, Mhe. Zephania Sane (wa kwanza kushoto) akingoza kika cha Kamati ya Bunge zima wakati wa kupitisha Muswada. Anayefuata ni Katibu wa Bunge la Vijana Bi. Alphonsina Ambrosi na Katibu Mezani Bi. Bertina Tarimo.
Wabunge wa Bunge la Vijana mwaka 2018 wakifuatilia hoja ndani ya Ukumbi wa Bunge

No comments:

Post a Comment