Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Bunge la Vijana, Mhe. Shabir
Bigirwa akijibu maswali ya wabunge
wakati kikao cha Bunge la Vijana kinachoendelea katika Ukumbi wa Msekwa Jijini
Dodoma.
|
Mbunge wa Bunge la Vijana kutokea upande wa Upinzani, Mhe.
Julius Mtatiro akiuliza swali Bungeni wakati kikao cha Bunge hilo la Vijana
kinachoendelea katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
|
Spika wa Bunge la Vijana, Mhe. Zephania Sane akiongoza Kikao
cha Pili cha Mkutano wa Bunge la Vijana mwaka 2018. Mkutano huo wa Bunge la
Vijana unafanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
|
Waziri wa Kazi na Ajira katika Bunge la Vijana, Mhe.
Victoria Ngowi akijibu swali la mbunge
wakati kikao cha Bunge la Vijana kikiendelea katika Ukumbi wa Msekwa Jijini
Dodoma.
|
Baadhi ya wabunge wa Bunge la Vijana mwaka 2018 wakifuatulia
mjadala katika Kikao cha Bunge hilo. Mkutano wa Bunge hilo la Vijana mwaka 2018
unaendelea katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment