WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, January 17, 2019

KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Dunstan Kitandula akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo Kamati imepokea na kujadili taarifa mbalimbali za Wizara ya Nishati, pembeni yake ni Katibu wa Kamati hiyo, Felister Mgonja.


Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo wamepokea na kujadili taarifa mbalimbali za Wizara ya Nishati.

Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati, Mhe. Subira Mgalu akiwa akizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo Kamati hiyo imepokea na kujadili taarifa mbalimbali za Wizara ya Nishati

No comments:

Post a Comment