WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, January 17, 2019

WAJUMBE WA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA WAKIENDELEA NA KIKAO CHA KAMATI

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Jijini katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo wamepokea na kujadili taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuhusu utendaji wa Tume ya Utumishi katika kipindi cha Julai hadi Desemba mwaka 2018.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Mwanne Nchemba akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Jijini katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, katikati ni Katibu wa Kamati, Eunice Shirima na wa kwanza ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Jason Rweikiza.

Naibu Waziri , Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mwita Waitara akifuatilia hoja za wajumbe wa Kamati Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Jijini katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo Kamati imepokea na kujadili taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuhusu utendaji wa Tume ya Utumishi katika kipindi cha Julai hadi Desemba mwaka 2018.

No comments:

Post a Comment