Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Mheshimiwa Jenista Mhagama
akifuatilia mjadala wa kukusanya maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya
Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 katika kikao cha Kamati
ya Katiba na Sheria kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Katikati
ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mheshimiwa Stella Ikupa na Katibu Mkuu, Ndugu
Maimuna Tarishi.
|
No comments:
Post a Comment