WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, January 15, 2019

WAZIRI WA MAJI PROF. MBARAWA AWASILISHA MUSWADA KAMATI YA KILIMO

Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa akitoa maelezo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji alipokuwa akiwasilisha Muswada wa Sheria ya huduma ya maji na usafi wa mazingira ya mwaka 2018 (The water supply and sanitationAct, 2018) Jijini Dodoma.

Mkufunzi kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Dkt. Montanus Milanzi akiwasilisha mada katika Semina iliyotelewa kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji mara baada ya kuwasilishwa kwa Muswada wa Sheria ya huduma ya maji na usafi wa mazingira ya mwaka 2018 (The water supply and sanitationAct, 2018) Jijini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Mheshimiwa Dkt. Christin Ishengoma akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamti hiyo mara baada ya kuwasilishwa kwa Muswada wa Sheria ya huduma ya maji na usafi wa mazingira ya mwaka 2018 (The water supply and sanitationAct, 2018) Jijini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji wakifuatilia kwa makini uwasilishaji wa Muswada wa Sheria ya huduma ya maji na usafi wa mazingira ya mwaka 2018 (The water supply and sanitationAct, 2018) Jijini Dodoma.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Mheshimiwa Joyce Sokombi akichangia jambo katika Semina iliyotelewa kwa Wajumbe wa  mara baada ya kuwasilishwa kwa Muswada wa Sheria ya huduma ya maji na usafi wa mazingira ya mwaka 2018 (The water supply and sanitationAct, 2018) Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment