Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Katiba na Sheria, Mhe. Mohamed Mchengelwa akizungumza katika Kikao cha
kukusanya maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya
Siasa wa mwaka 2018 kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa, kulia kwake ni
Makamu Mwennyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Najma Giga.
|
No comments:
Post a Comment